1 Nyakati 7:32
1 Chronicles 7:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Heberi akawazaa Yafleti, Shomeri na Hothamu, na Shua dada yao.
1 Chronicles 7:32 in English
1 Chronicles 7:32 · Berean Standard Bible
Heber was the father of Japhlet, Shomer, and Hotham, and of their sister Shua.
Context
30Wana wa Asheri walikuwa:
Imna, Ishva, Ishvi na Beria. Dada yao alikuwa Sera. 31Wana wa Beria walikuwa:
Heberi na Malkieli, aliyekuwa baba yake Birzaithi. 32Heberi akawazaa Yafleti, Shomeri na Hothamu, na Shua dada yao. 33Wana wa Yafleti walikuwa:
Pasaki, Bimhali na Ashvathi.
Hawa walikuwa wana wa Yafleti. 34Wana wa Shemeri walikuwa:
Ahi, Roga, Yehuba na Aramu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.