Native Bible

1 Chronicles 7:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Beria walikuwa: Heberi na Malkieli, aliyekuwa baba yake Birzaithi.

1 Chronicles 7:31 in English

1 Chronicles 7:31 · Berean Standard Bible

The sons of Beriah: Heber, as well as Malchiel, who was the father of Birzaith.

Context

29Katika mipaka ya Manase walikuwepo Beth-Shani, Taanaki, Megido na Dori pamoja na vijiji vyake. Wana wa Yosefu mwana wa Israeli waliishi katika miji hii. 30Wana wa Asheri walikuwa: Imna, Ishva, Ishvi na Beria. Dada yao alikuwa Sera. 31Wana wa Beria walikuwa: Heberi na Malkieli, aliyekuwa baba yake Birzaithi. 32Heberi akawazaa Yafleti, Shomeri na Hothamu, na Shua dada yao. 33Wana wa Yafleti walikuwa: Pasaki, Bimhali na Ashvathi. Hawa walikuwa wana wa Yafleti.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.