Native Bible

1 Chronicles 7:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Katika mipaka ya Manase walikuwepo Beth-Shani, Taanaki, Megido na Dori pamoja na vijiji vyake. Wana wa Yosefu mwana wa Israeli waliishi katika miji hii.

1 Chronicles 7:29 in English

1 Chronicles 7:29 · Berean Standard Bible

And along the borders of Manasseh were Beth-shean,* Taanach, Megiddo, and Dor, together with their villages. The descendants of Joseph son of Israel lived in these towns.

Context

27Elishama akamzaa Nuni, Nuni akamzaa Yoshua. 28Nchi zao na makazi yao yalijumuisha Betheli na vijiji vilivyouzunguka, Naarani ilikuwa upande wa mashariki, Gezeri pamoja na vijiji vyake upande wa magharibi, pia Shekemu na vijiji vyake hadi kufikia Aya na vijiji vyake. 29Katika mipaka ya Manase walikuwepo Beth-Shani, Taanaki, Megido na Dori pamoja na vijiji vyake. Wana wa Yosefu mwana wa Israeli waliishi katika miji hii. 30Wana wa Asheri walikuwa: Imna, Ishva, Ishvi na Beria. Dada yao alikuwa Sera. 31Wana wa Beria walikuwa: Heberi na Malkieli, aliyekuwa baba yake Birzaithi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.