1 Nyakati 7:27
1 Chronicles 7:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Elishama akamzaa Nuni, Nuni akamzaa Yoshua.
1 Chronicles 7:27 in English
1 Chronicles 7:27 · Berean Standard Bible
Nun * his son, and Joshua his son.
Context
25Beria akamzaa pia Refa, naye Refa akamzaa Reshefu,
Reshefu akamzaa Tela, Tela akamzaa Tahani, 26Tahani akamzaa Ladani, Ladani akamzaa Amihudi,
Amihudi akamzaa Elishama, 27Elishama akamzaa Nuni,
Nuni akamzaa Yoshua. 28Nchi zao na makazi yao yalijumuisha Betheli na vijiji vilivyouzunguka, Naarani ilikuwa upande wa mashariki, Gezeri pamoja na vijiji vyake upande wa magharibi, pia Shekemu na vijiji vyake hadi kufikia Aya na vijiji vyake. 29Katika mipaka ya Manase walikuwepo Beth-Shani, Taanaki, Megido na Dori pamoja na vijiji vyake. Wana wa Yosefu mwana wa Israeli waliishi katika miji hii.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.