1 Nyakati 7:26
1 Chronicles 7:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Tahani akamzaa Ladani, Ladani akamzaa Amihudi, Amihudi akamzaa Elishama,
1 Chronicles 7:26 in English
1 Chronicles 7:26 · Berean Standard Bible
Ladan his son, Ammihud his son, Elishama his son,
Context
24Beria alikuwa na binti jina lake Sheera. Huyu ndiye aliijenga miji ya Beth-Horoni ya Juu na Beth-Horoni ya Chini, pamoja na Uzen-Sheera. 25Beria akamzaa pia Refa, naye Refa akamzaa Reshefu,
Reshefu akamzaa Tela, Tela akamzaa Tahani, 26Tahani akamzaa Ladani, Ladani akamzaa Amihudi,
Amihudi akamzaa Elishama, 27Elishama akamzaa Nuni,
Nuni akamzaa Yoshua. 28Nchi zao na makazi yao yalijumuisha Betheli na vijiji vilivyouzunguka, Naarani ilikuwa upande wa mashariki, Gezeri pamoja na vijiji vyake upande wa magharibi, pia Shekemu na vijiji vyake hadi kufikia Aya na vijiji vyake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.