1 Nyakati 7:13
1 Chronicles 7:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wana wa Naftali walikuwa: Yahzieli, Guni, Yeseri na Shalumu; hao walikuwa wazao wa Bilha.
1 Chronicles 7:13 in English
1 Chronicles 7:13 · Berean Standard Bible
The sons of Naphtali: Jahziel,* Guni, Jezer, and Shallum *—the descendants of Bilhah.
Context
11Hawa wana wote wa Yediaeli walikuwa viongozi wa jamaa zao. Kulikuwako wanaume wapiganaji 17,200 waliokuwa tayari kwenda vitani. 12Washupimu na Wahupimu walikuwa wazao wa Iri. Wahushimu walikuwa wazao wa Aheri. 13Wana wa Naftali walikuwa:
Yahzieli, Guni, Yeseri na Shalumu; hao walikuwa wazao wa Bilha. 14Wana wa Manase walikuwa:
Asirieli alikuwa mzao wake kutokana na suria wake wa Kiaramu. Huyu suria akamzaa Makiri baba wa Gileadi. 15Makiri akatwaa mke kutoka miongoni mwa Wahupimu na Washupimu. Jina la dada yake aliitwa Maaka. Mwana wa pili wa Makiri aliitwa Selofehadi, ambaye alikuwa na wasichana tu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.