1 Nyakati 6:28
1 Chronicles 6:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wana wa Samweli walikuwa: Yoeli mzaliwa wake wa kwanza, na Abiya mwanawe wa pili.
1 Chronicles 6:28 in English
1 Chronicles 6:28 · Berean Standard Bible
The sons of Samuel: Joel his firstborn and Abijah his second son.*
Context
26Ahimothi akamzaa Elikana, Elikana akamzaa Sofai,
Sofai akamzaa Nahathi, 27Nahathi akamzaa Eliabu,
Eliabu akamzaa Yerohamu, Yerohamu akamzaa Elikana,
Elikana akamzaa Samweli. 28Wana wa Samweli walikuwa:
Yoeli mzaliwa wake wa kwanza,
na Abiya mwanawe wa pili. 29Wafuatao ndio wazao wa Merari:
Merari akamzaa Mahli, Mahli akamzaa Libni,
Libni akamzaa Shimei, Shimei akamzaa Uza, 30Uza akamzaa Shimea, Shimea akamzaa Hagia,
Hagia akamzaa Asaya.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.