Native Bible

1 Chronicles 6:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ahimothi akamzaa Elikana, Elikana akamzaa Sofai, Sofai akamzaa Nahathi,

1 Chronicles 6:26 in English

1 Chronicles 6:26 · Berean Standard Bible

Elkanah his son,* Zophai his son, Nahath his son,

Context

24Asiri akamzaa Tahathi, Tahathi akamzaa Urieli, Urieli akamzaa Uzia, Uzia akamzaa Shauli. 25Wazao wa Elikana walikuwa: Amasai na Ahimothi, 26Ahimothi akamzaa Elikana, Elikana akamzaa Sofai, Sofai akamzaa Nahathi, 27Nahathi akamzaa Eliabu, Eliabu akamzaa Yerohamu, Yerohamu akamzaa Elikana, Elikana akamzaa Samweli. 28Wana wa Samweli walikuwa: Yoeli mzaliwa wake wa kwanza, na Abiya mwanawe wa pili.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.