Native Bible

1 Chronicles 6:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nahathi akamzaa Eliabu, Eliabu akamzaa Yerohamu, Yerohamu akamzaa Elikana, Elikana akamzaa Samweli.

1 Chronicles 6:27 in English

1 Chronicles 6:27 · Berean Standard Bible

Eliab * his son, Jeroham his son, and Elkanah his son.*

Context

25Wazao wa Elikana walikuwa: Amasai na Ahimothi, 26Ahimothi akamzaa Elikana, Elikana akamzaa Sofai, Sofai akamzaa Nahathi, 27Nahathi akamzaa Eliabu, Eliabu akamzaa Yerohamu, Yerohamu akamzaa Elikana, Elikana akamzaa Samweli. 28Wana wa Samweli walikuwa: Yoeli mzaliwa wake wa kwanza, na Abiya mwanawe wa pili. 29Wafuatao ndio wazao wa Merari: Merari akamzaa Mahli, Mahli akamzaa Libni, Libni akamzaa Shimei, Shimei akamzaa Uza,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.