1 Nyakati 5:4
1 Chronicles 5:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wazao wa Yoeli walikuwa: Shemaya mwanawe, Gogu mwanawe; Shimei mwanawe,
1 Chronicles 5:4 in English
1 Chronicles 5:4 · Berean Standard Bible
The descendants of Joel: Shemaiah his son, Gog his son, Shimei his son,
Context
2Na ingawa Yuda alikuwa na nguvu zaidi ya ndugu zake wote, na mtawala alitoka kwake, haki za mzaliwa wa kwanza zilikuwa za Yosefu.) 3Wana wa Reubeni mzaliwa wa kwanza wa Israeli walikuwa:
Hanoki, Palu, Hesroni na Karmi. 4Wazao wa Yoeli walikuwa:
Shemaya mwanawe, Gogu mwanawe;
Shimei mwanawe, 5Mika mwanawe,
Reaya mwanawe, Baali mwanawe, 6na Beera mwanawe, ambaye Tiglath-Pileseri mfalme wa Ashuru alimchukua kwenda uhamishoni. Beera alikuwa kiongozi wa Wareubeni.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.