1 Nyakati 5:6
1 Chronicles 5:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
na Beera mwanawe, ambaye Tiglath-Pileseri mfalme wa Ashuru alimchukua kwenda uhamishoni. Beera alikuwa kiongozi wa Wareubeni.
1 Chronicles 5:6 in English
1 Chronicles 5:6 · Berean Standard Bible
and Beerah his son, whom Tiglath-pileser * king of Assyria carried into exile. Beerah was a leader of the Reubenites.
Context
4Wazao wa Yoeli walikuwa:
Shemaya mwanawe, Gogu mwanawe;
Shimei mwanawe, 5Mika mwanawe,
Reaya mwanawe, Baali mwanawe, 6na Beera mwanawe, ambaye Tiglath-Pileseri mfalme wa Ashuru alimchukua kwenda uhamishoni. Beera alikuwa kiongozi wa Wareubeni. 7Jamaa zao kulingana na koo zao, walioorodheshwa kwa kufuata koo zao kama ifuatavyo:
Yeieli aliyekuwa mkuu wao, Zekaria, 8Bela mwana wa Azazi, mwana wa Shema, mwana wa Yoeli. Hao waliishi katika eneo kuanzia Aroeri mpaka Nebo na Baal-Meoni.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.