1 Nyakati 5:3
1 Chronicles 5:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wana wa Reubeni mzaliwa wa kwanza wa Israeli walikuwa: Hanoki, Palu, Hesroni na Karmi.
1 Chronicles 5:3 in English
1 Chronicles 5:3 · Berean Standard Bible
The sons of Reuben, the firstborn of Israel: Hanoch, Pallu, Hezron, and Carmi.
Context
1Wana wa Reubeni mzaliwa wa kwanza wa Israeli (yeye alikuwa mzaliwa wa kwanza, lakini kwa kuwa alikinajisi kitanda cha baba yake, haki zake za mzaliwa wa kwanza walipewa wana wa Yosefu mwana wa Israeli. Hivyo hakuorodheshwa kwenye orodha ya ukoo wao kulingana na haki yake ya kuzaliwa. 2Na ingawa Yuda alikuwa na nguvu zaidi ya ndugu zake wote, na mtawala alitoka kwake, haki za mzaliwa wa kwanza zilikuwa za Yosefu.) 3Wana wa Reubeni mzaliwa wa kwanza wa Israeli walikuwa:
Hanoki, Palu, Hesroni na Karmi. 4Wazao wa Yoeli walikuwa:
Shemaya mwanawe, Gogu mwanawe;
Shimei mwanawe, 5Mika mwanawe,
Reaya mwanawe, Baali mwanawe,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.