Native Bible

1 Chronicles 4:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

pamoja na vijiji vyote kuizunguka hii miji hadi huko Baali. Haya yalikuwa makao yao, nao waliweka kumbukumbu ya ukoo wao.

1 Chronicles 4:33 in English

1 Chronicles 4:33 · Berean Standard Bible

and all their surrounding villages as far as Baal.* These were their settlements, and they kept a genealogical record:

Context

31Beth-Markabothi, Hasar-Susimu, Beth-Biri na Shaaraimu. Hii ilikuwa miji yao mpaka wakati wa utawala wa Daudi. 32Vijiji vilivyoizunguka vilikuwa Etamu, Aini, Rimoni, Tokeni na Ashani; jumla miji mitano: 33pamoja na vijiji vyote kuizunguka hii miji hadi huko Baali. Haya yalikuwa makao yao, nao waliweka kumbukumbu ya ukoo wao. 34Meshobabu, Yamleki, Yosha mwana wa Amazia, 35Yoeli, Yehu mwana wa Yoshibia, mwana wa Seraya, mwana wa Asieli.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.