1 Nyakati 4:34
1 Chronicles 4:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Meshobabu, Yamleki, Yosha mwana wa Amazia,
1 Chronicles 4:34 in English
1 Chronicles 4:34 · Berean Standard Bible
Meshobab, Jamlech, Joshah son of Amaziah,
Context
32Vijiji vilivyoizunguka vilikuwa Etamu, Aini, Rimoni, Tokeni na Ashani; jumla miji mitano: 33pamoja na vijiji vyote kuizunguka hii miji hadi huko Baali. Haya yalikuwa makao yao, nao waliweka kumbukumbu ya ukoo wao. 34Meshobabu, Yamleki, Yosha mwana wa Amazia, 35Yoeli, Yehu mwana wa Yoshibia, mwana wa Seraya, mwana wa Asieli. 36Pia Elioenai, Yaakoba, Yeshohaya, Asaya, Adieli, Yesimieli, Benaya,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.