1 Nyakati 4:29
1 Chronicles 4:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bilha, Esemu, Toladi,
1 Chronicles 4:29 in English
1 Chronicles 4:29 · Berean Standard Bible
Bilhah, Ezem, Tolad,
Context
27Shimei alikuwa na wana kumi na sita, na binti sita, lakini ndugu zake hawakuwa na watoto wengi, hivyo ukoo wao wote haukuwa na watu wengi kama ukoo wa Yuda. 28Waliishi Beer-Sheba, Molada, Hasar-Shuali, 29Bilha, Esemu, Toladi, 30Bethueli, Horma, Siklagi, 31Beth-Markabothi, Hasar-Susimu, Beth-Biri na Shaaraimu. Hii ilikuwa miji yao mpaka wakati wa utawala wa Daudi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.