Native Bible

1 Chronicles 4:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Waliishi Beer-Sheba, Molada, Hasar-Shuali,

1 Chronicles 4:28 in English

1 Chronicles 4:28 · Berean Standard Bible

They lived in Beersheba, Moladah, Hazar-shual,

Context

26Wazao wa Mishma walikuwa: Hamueli aliyemzaa Zakuri, Zakuri akamzaa Shimei. 27Shimei alikuwa na wana kumi na sita, na binti sita, lakini ndugu zake hawakuwa na watoto wengi, hivyo ukoo wao wote haukuwa na watu wengi kama ukoo wa Yuda. 28Waliishi Beer-Sheba, Molada, Hasar-Shuali, 29Bilha, Esemu, Toladi, 30Bethueli, Horma, Siklagi,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.