1 Nyakati 26:14
1 Chronicles 26:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kura ya Lango la Mashariki ilimwangukia Shelemia.* Kisha wakapiga kura kwa Zekaria mwanawe, aliyekuwa mshauri mwenye hekima, nayo kura ya Lango la Kaskazini ikamwangukia.
1 Chronicles 26:14 in English
1 Chronicles 26:14 · Berean Standard Bible
The lot for the East Gate fell to Shelemiah.* Then lots were cast for his son Zechariah, a wise counselor, and the lot for the North Gate fell to him.
Context
12Hii migawanyo ya mabawabu, kupitia wakuu wao, walikuwa na zamu za kuhudumu hekaluni mwa Bwana kama jamaa zao walivyokuwa nazo. 13Kura zilipigwa kwa kila lango, kufuatana na jamaa zao, wakubwa kwa wadogo. 14Kura ya Lango la Mashariki ilimwangukia Shelemia.* Kisha wakapiga kura kwa Zekaria mwanawe, aliyekuwa mshauri mwenye hekima, nayo kura ya Lango la Kaskazini ikamwangukia. 15Kura ya Lango la Kusini ikamwangukia Obed-Edomu, nayo kura ya maghala ikawaangukia wanawe. 16Kura za Lango la Magharibi na Lango la Shalekethi kwenye barabara ya juu zikawaangukia Shupimu na Hosa.
Zamu za walinzi ziligawanywa kwa usawa:
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.