Native Bible

1 Chronicles 25:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kura ya kwanza, ambayo ilikuwa kwa ajili ya Asafu, ilimwangukia Yosefu, //wanawe na jamaa zake, 12 Ya pili ikamwangukia Gedalia, //yeye na wanawe pamoja na jamaa zake, 12

1 Chronicles 25:9 in English

1 Chronicles 25:9 · Berean Standard Bible

The first lot, which was for Asaph, fell to Joseph, his sons, and his brothers—12 in all;* the second to Gedaliah, his sons, and his brothers—12 in all;

Context

7Pamoja na ndugu zao wote walikuwa wamefundishwa na kuwa stadi wa uimbaji kwa Bwana. Idadi yao walikuwa 288. 8Vijana kwa wazee, walimu kwa wanafunzi, wote walipanga kazi zao kwa kupiga kura. 9Kura ya kwanza, ambayo ilikuwa kwa ajili ya Asafu, ilimwangukia Yosefu, //wanawe na jamaa zake, 12 Ya pili ikamwangukia Gedalia, //yeye na wanawe pamoja na jamaa zake, 12 10Ya tatu ikamwangukia Zakuri, //wanawe na jamaa zake, 12 11ya nne ikamwangukia Isri,* //wanawe na jamaa zake, 12

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.