1 Nyakati 25:11
1 Chronicles 25:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
ya nne ikamwangukia Isri,* //wanawe na jamaa zake, 12
1 Chronicles 25:11 in English
1 Chronicles 25:11 · Berean Standard Bible
the fourth to Izri,* his sons, and his brothers—12 in all;
Context
9Kura ya kwanza, ambayo ilikuwa kwa ajili ya Asafu, ilimwangukia Yosefu, //wanawe na jamaa zake, 12
Ya pili ikamwangukia Gedalia, //yeye na wanawe pamoja na jamaa zake, 12 10Ya tatu ikamwangukia Zakuri, //wanawe na jamaa zake, 12 11ya nne ikamwangukia Isri,* //wanawe na jamaa zake, 12 12ya tano ikamwangukia Nethania, //wanawe na jamaa zake, 12 13ya sita ikamwangukia Bukia, //wanawe na jamaa zake, 12
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.