Native Bible

1 Chronicles 25:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ya tano ikamwangukia Nethania, //wanawe na jamaa zake, 12

1 Chronicles 25:12 in English

1 Chronicles 25:12 · Berean Standard Bible

the fifth to Nethaniah, his sons, and his brothers—12 in all;

Context

10Ya tatu ikamwangukia Zakuri, //wanawe na jamaa zake, 12 11ya nne ikamwangukia Isri,* //wanawe na jamaa zake, 12 12ya tano ikamwangukia Nethania, //wanawe na jamaa zake, 12 13ya sita ikamwangukia Bukia, //wanawe na jamaa zake, 12 14ya saba ikamwangukia Yesarela,* //wanawe na jamaa zake, 12

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.