1 Nyakati 24:18
1 Chronicles 24:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
ya ishirini na tatu Delaya, ya ishirini na nne Maazia.
1 Chronicles 24:18 in English
1 Chronicles 24:18 · Berean Standard Bible
the twenty-third to Delaiah, and the twenty-fourth to Maaziah.
Context
16ya kumi na tisa Pethahia,
ya ishirini Yehezkeli, 17ya ishirini na moja Yakini,
ya ishirini na mbili Gamuli, 18ya ishirini na tatu Delaya,
ya ishirini na nne Maazia. 19Huu ulikuwa ndio utaratibu wao uliokubalika wa kuhudumu walipoingia katika Hekalu la Bwana kulingana na masharti waliyoelekezwa na Aroni baba yao, kama Bwana, Mungu wa Israeli, alivyokuwa amemwamuru. 20Kuhusu wazao wa Lawi waliobaki:
Kutoka kwa wana wa Amramu: alikuwa Shubaeli;
kutoka kwa wana wa Shubaeli: alikuwa Yedeya.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.