Native Bible

1 Chronicles 24:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ya ishirini na moja Yakini, ya ishirini na mbili Gamuli,

1 Chronicles 24:17 in English

1 Chronicles 24:17 · Berean Standard Bible

the twenty-first to Jachin, the twenty-second to Gamul,

Context

15ya kumi na saba Heziri, ya kumi na nane Hapisesi, 16ya kumi na tisa Pethahia, ya ishirini Yehezkeli, 17ya ishirini na moja Yakini, ya ishirini na mbili Gamuli, 18ya ishirini na tatu Delaya, ya ishirini na nne Maazia. 19Huu ulikuwa ndio utaratibu wao uliokubalika wa kuhudumu walipoingia katika Hekalu la Bwana kulingana na masharti waliyoelekezwa na Aroni baba yao, kama Bwana, Mungu wa Israeli, alivyokuwa amemwamuru.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.