1 Nyakati 2:36
1 Chronicles 2:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Atai akamzaa Nathani, Nathani akamzaa Zabadi,
1 Chronicles 2:36 in English
1 Chronicles 2:36 · Berean Standard Bible
Attai was the father of Nathan, Nathan was the father of Zabad,
Context
34Sheshani hakuwa na watoto wa kiume, ila wasichana tu.
Alikuwa na mtumishi Mmisri aliyeitwa Yarha. 35Sheshani akamwoza huyu mtumishi wake Yarha binti yake, akamzalia mwana jina lake Atai. 36Atai akamzaa Nathani,
Nathani akamzaa Zabadi, 37Zabadi akamzaa Eflali,
Eflali akamzaa Obedi, 38Obedi akamzaa Yehu,
Yehu akamzaa Azaria,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.