Native Bible

1 Chronicles 2:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sheshani hakuwa na watoto wa kiume, ila wasichana tu. Alikuwa na mtumishi Mmisri aliyeitwa Yarha.

1 Chronicles 2:34 in English

1 Chronicles 2:34 · Berean Standard Bible

Sheshan had no sons, but only daughters; but he did have an Egyptian servant named Jarha.

Context

32Wana wa Yada, nduguye Shamai walikuwa: Yetheri na Yonathani. Yetheri alikufa bila kuzaa watoto. 33Wana wa Yonathani walikuwa: Pelethi na Zaza. Hawa ndio waliokuwa wazao wa Yerameeli. 34Sheshani hakuwa na watoto wa kiume, ila wasichana tu. Alikuwa na mtumishi Mmisri aliyeitwa Yarha. 35Sheshani akamwoza huyu mtumishi wake Yarha binti yake, akamzalia mwana jina lake Atai. 36Atai akamzaa Nathani, Nathani akamzaa Zabadi,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.