Native Bible

1 Chronicles 2:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sheshani akamwoza huyu mtumishi wake Yarha binti yake, akamzalia mwana jina lake Atai.

1 Chronicles 2:35 in English

1 Chronicles 2:35 · Berean Standard Bible

Sheshan gave his daughter in marriage to his servant Jarha, and she bore to him Attai.

Context

33Wana wa Yonathani walikuwa: Pelethi na Zaza. Hawa ndio waliokuwa wazao wa Yerameeli. 34Sheshani hakuwa na watoto wa kiume, ila wasichana tu. Alikuwa na mtumishi Mmisri aliyeitwa Yarha. 35Sheshani akamwoza huyu mtumishi wake Yarha binti yake, akamzalia mwana jina lake Atai. 36Atai akamzaa Nathani, Nathani akamzaa Zabadi, 37Zabadi akamzaa Eflali, Eflali akamzaa Obedi,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.