1 Nyakati 2:30
1 Chronicles 2:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wana wa Nadabu walikuwa Seledi na Apaimu, lakini Seledi alikufa bila kuzaa watoto.
1 Chronicles 2:30 in English
1 Chronicles 2:30 · Berean Standard Bible
The sons of Nadab: Seled and Appaim. Seled died without children.
Context
28Wana wa Onamu walikuwa:
Shamai na Yada.
Wana wa Shamai walikuwa:
Nadabu na Abishuri. 29Mke wa Abishuri aliitwa Abihaili, ambaye alimzalia Abani na Molidi. 30Wana wa Nadabu walikuwa
Seledi na Apaimu, lakini Seledi alikufa bila kuzaa watoto. 31Apaimu akamzaa:
Ishi ambaye alikuwa baba wa Sheshani.
Sheshani akamzaa Alai. 32Wana wa Yada, nduguye Shamai walikuwa:
Yetheri na Yonathani. Yetheri alikufa bila kuzaa watoto.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.