1 Nyakati 2:28
1 Chronicles 2:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wana wa Onamu walikuwa: Shamai na Yada. Wana wa Shamai walikuwa: Nadabu na Abishuri.
1 Chronicles 2:28 in English
1 Chronicles 2:28 · Berean Standard Bible
The sons of Onam: Shammai and Jada. The sons of Shammai: Nadab and Abishur.
Context
26Yerameeli alikuwa na mke mwingine, aliyeitwa Atara, aliyekuwa mama yake Onamu. 27Wana wa Ramu mzaliwa wa kwanza wa Yerameeli walikuwa:
Maasi, Yamini na Ekeri. 28Wana wa Onamu walikuwa:
Shamai na Yada.
Wana wa Shamai walikuwa:
Nadabu na Abishuri. 29Mke wa Abishuri aliitwa Abihaili, ambaye alimzalia Abani na Molidi. 30Wana wa Nadabu walikuwa
Seledi na Apaimu, lakini Seledi alikufa bila kuzaa watoto.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.