Native Bible

1 Chronicles 2:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Ramu mzaliwa wa kwanza wa Yerameeli walikuwa: Maasi, Yamini na Ekeri.

1 Chronicles 2:27 in English

1 Chronicles 2:27 · Berean Standard Bible

The sons of Ram the firstborn of Jerahmeel: Maaz, Jamin, and Eker.

Context

25Wana wa Yerameeli mzaliwa wa kwanza wa Hesroni walikuwa: Ramu mzaliwa wake wa kwanza, Buna, Oreni, Osemu na Ahiya. 26Yerameeli alikuwa na mke mwingine, aliyeitwa Atara, aliyekuwa mama yake Onamu. 27Wana wa Ramu mzaliwa wa kwanza wa Yerameeli walikuwa: Maasi, Yamini na Ekeri. 28Wana wa Onamu walikuwa: Shamai na Yada. Wana wa Shamai walikuwa: Nadabu na Abishuri. 29Mke wa Abishuri aliitwa Abihaili, ambaye alimzalia Abani na Molidi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.