Native Bible

1 Chronicles 2:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Apaimu akamzaa: Ishi ambaye alikuwa baba wa Sheshani. Sheshani akamzaa Alai.

1 Chronicles 2:31 in English

1 Chronicles 2:31 · Berean Standard Bible

The son * of Appaim: Ishi. The son of Ishi: Sheshan. The son of Sheshan: Ahlai.

Context

29Mke wa Abishuri aliitwa Abihaili, ambaye alimzalia Abani na Molidi. 30Wana wa Nadabu walikuwa Seledi na Apaimu, lakini Seledi alikufa bila kuzaa watoto. 31Apaimu akamzaa: Ishi ambaye alikuwa baba wa Sheshani. Sheshani akamzaa Alai. 32Wana wa Yada, nduguye Shamai walikuwa: Yetheri na Yonathani. Yetheri alikufa bila kuzaa watoto. 33Wana wa Yonathani walikuwa: Pelethi na Zaza. Hawa ndio waliokuwa wazao wa Yerameeli.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.