Native Bible

1 Chronicles 12:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Atai wa sita, Elieli wa saba,

1 Chronicles 12:11 in English

1 Chronicles 12:11 · Berean Standard Bible

Attai the sixth, Eliel the seventh,

Context

9Ezeri alikuwa mkuu wao, Obadia alikuwa wa pili katika uongozi, Eliabu wa tatu, 10Mishmana wa nne, Yeremia wa tano, 11Atai wa sita, Elieli wa saba, 12Yohanani wa nane, Elzabadi wa tisa, 13Yeremia wa kumi, na Makbanai wa kumi na moja.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.