Native Bible

1 Chronicles 12:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeremia wa kumi, na Makbanai wa kumi na moja.

1 Chronicles 12:13 in English

1 Chronicles 12:13 · Berean Standard Bible

Jeremiah the tenth, and Machbanai the eleventh.

Context

11Atai wa sita, Elieli wa saba, 12Yohanani wa nane, Elzabadi wa tisa, 13Yeremia wa kumi, na Makbanai wa kumi na moja. 14Hawa Wagadi walikuwa majemadari. Aliyekuwa wa mwisho kuliko wote aliweza kuongoza askari 100, na aliyekuwa na uweza zaidi ya wote aliongoza 1,000. 15Wao ndio walivuka Mto Yordani katika mwezi wa kwanza ukiwa umefurika hadi kwenye kingo zake zote na kusababisha watu wote waliokuwa wanaishi kwenye mabonde kukimbilia mashariki na wengine magharibi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.