Native Bible

1 Chronicles 12:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mishmana wa nne, Yeremia wa tano,

1 Chronicles 12:10 in English

1 Chronicles 12:10 · Berean Standard Bible

Mishmannah the fourth, Jeremiah the fifth,

Context

8Baadhi ya Wagadi wakajitenga na kujiunga na Daudi katika ngome yake huko jangwani. Walikuwa mashujaa hodari, waliokuwa tayari kwa vita na wenye uwezo wa kutumia ngao na mkuki. Nyuso zao zilikuwa nyuso za simba na walikuwa na wepesi kama paa milimani. 9Ezeri alikuwa mkuu wao, Obadia alikuwa wa pili katika uongozi, Eliabu wa tatu, 10Mishmana wa nne, Yeremia wa tano, 11Atai wa sita, Elieli wa saba, 12Yohanani wa nane, Elzabadi wa tisa,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.