1 Nyakati 11:27
1 Chronicles 11:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Shamothi Mharori, Helesi Mpeloni,
1 Chronicles 11:27 in English
1 Chronicles 11:27 · Berean Standard Bible
Shammoth the Harorite,* Helez the Pelonite,
Context
25Yeye aliheshimiwa zaidi ya wale Thelathini, lakini hakujumuishwa miongoni mwa wale Watatu: Daudi akamweka kuwa kiongozi wa walinzi wake. 26Wale watu mashujaa walikuwa:
Asaheli nduguye Yoabu,
Elhanani mwana wa Dodo kutoka Bethlehemu, 27Shamothi Mharori,
Helesi Mpeloni, 28Ira mwana wa Ikeshi kutoka Tekoa,
Abiezeri kutoka Anathothi, 29Sibekai Mhushathi,
Ilai Mwahohi,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.