Native Bible

1 Chronicles 11:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wale watu mashujaa walikuwa: Asaheli nduguye Yoabu, Elhanani mwana wa Dodo kutoka Bethlehemu,

1 Chronicles 11:26 in English

1 Chronicles 11:26 · Berean Standard Bible

Now these were the mighty men: Asahel the brother of Joab, Elhanan son of Dodo of Bethlehem,

Context

24Haya yalikuwa mambo ya ushujaa ya Benaya mwana wa Yehoyada; naye pia alikuwa maarufu kama wale mashujaa watatu. 25Yeye aliheshimiwa zaidi ya wale Thelathini, lakini hakujumuishwa miongoni mwa wale Watatu: Daudi akamweka kuwa kiongozi wa walinzi wake. 26Wale watu mashujaa walikuwa: Asaheli nduguye Yoabu, Elhanani mwana wa Dodo kutoka Bethlehemu, 27Shamothi Mharori, Helesi Mpeloni, 28Ira mwana wa Ikeshi kutoka Tekoa, Abiezeri kutoka Anathothi,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.