Native Bible

Zephaniah 3:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hautii mtu yeyote, haukubali maonyo. Haumtumaini Bwana, haukaribii karibu na Mungu wake.

Zephaniah 3:2 in English

Zephaniah 3:2 · Berean Standard Bible

She heeded no voice; she accepted no correction. She does not trust in the LORD; she has not drawn near to her God.

Context

1Ole mji wa wadhalimu, waasi na waliotiwa unajisi! 2Hautii mtu yeyote, haukubali maonyo. Haumtumaini Bwana, haukaribii karibu na Mungu wake. 3Maafisa wake ni simba wangurumao, watawala wake ni mbwa mwitu wa jioni, ambao hawabakizi chochote kwa ajili ya asubuhi. 4Manabii wake ni wenye kiburi, ni wadanganyifu. Makuhani wake hunajisi patakatifu na kuihalifu sheria.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.