Native Bible

Zephaniah 3:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ole mji wa wadhalimu, waasi na waliotiwa unajisi!

Zephaniah 3:1 in English

Zephaniah 3:1 · Berean Standard Bible

Woe to the city of oppressors, rebellious and defiled!

Context

1Ole mji wa wadhalimu, waasi na waliotiwa unajisi! 2Hautii mtu yeyote, haukubali maonyo. Haumtumaini Bwana, haukaribii karibu na Mungu wake. 3Maafisa wake ni simba wangurumao, watawala wake ni mbwa mwitu wa jioni, ambao hawabakizi chochote kwa ajili ya asubuhi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.