Zekaria 9:17
Zechariah 9:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Jinsi gani watavutia na kuwa wazuri! Nafaka itawastawisha vijana wanaume, nayo divai mpya vijana wanawake.
Zechariah 9:17 in English
Zechariah 9:17 · Berean Standard Bible
How lovely they will be, and how beautiful! Grain will make the young men flourish, and new wine, the young women.
Context
15na Bwana Mwenye Nguvu Zote atawalinda.
Wataangamiza na kushinda
kwa mawe ya kutupa kwa kombeo.
Watakunywa na kunguruma kama waliolewa mvinyo;
watajaa kama bakuli linalotumika kunyunyizia
kwenye pembe za madhabahu. 16Bwana Mungu wao atawaokoa siku hiyo
kama kundi la watu wake.
Watangʼara katika nchi yake
kama vito vya thamani kwenye taji. 17Jinsi gani watavutia na kuwa wazuri!
Nafaka itawastawisha vijana wanaume,
nayo divai mpya vijana wanawake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.