Zekaria 8:18
Zechariah 8:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Neno la Bwana Mwenye Nguvu Zote likanijia tena.
Zechariah 8:18 in English
Zechariah 8:18 · Berean Standard Bible
Then the word of the LORD of Hosts came to me, saying,
Context
16Haya ndiyo mtakayoyafanya: Semeni kweli kila mtu kwa mwenzake, na mtoe hukumu ya kweli na haki kwenye mahakama zenu, 17usipange mabaya dhidi ya jirani yako, wala msipende kuapa kwa uongo. Nayachukia yote haya,” asema Bwana. 18Neno la Bwana Mwenye Nguvu Zote likanijia tena. 19Hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote: “Saumu za miezi ya nne, tano, saba na kumi itakuwa sikukuu za furaha na za shangwe kwa Yuda. Kwa hiyo uipende kweli na amani.” 20Hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote: “Mataifa mengi na wakazi wa miji mingi watakuja,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.