Zekaria 8:1
Zechariah 8:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Neno la Bwana Mwenye Nguvu Zote likanijia tena.
Zechariah 8:1 in English
Zechariah 8:1 · Berean Standard Bible
Again the word of the LORD of Hosts came to me, saying:
Context
1Neno la Bwana Mwenye Nguvu Zote likanijia tena. 2Hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote: “Nina wivu sana kwa ajili ya Sayuni, ninawaka wivu kwa ajili yake.” 3Hili ndilo asemalo Bwana: “Nitarudi Sayuni na kufanya makao Yerusalemu. Kisha Yerusalemu utaitwa mji wa kweli, mlima wa Bwana Mwenye Nguvu Zote utaitwa Mlima Mtakatifu.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.