Zekaria 4:1
Zechariah 4:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kisha malaika aliyezungumza nami akarudi na kuniamsha, kama mtu aamshwavyo kutoka usingizi wake.
Zechariah 4:1 in English
Zechariah 4:1 · Berean Standard Bible
Then the angel who was speaking with me returned and woke me, as a man is awakened from his sleep.
Context
1Kisha malaika aliyezungumza nami akarudi na kuniamsha, kama mtu aamshwavyo kutoka usingizi wake. 2Akaniuliza, “Unaona nini?”
Nikajibu, “Ninaona kinara cha taa cha dhahabu tupu, nacho kina bakuli juu yake na taa zake saba juu yake, tena iko mirija saba ya kuleta mafuta, kwenye taa zote zilizo juu yake. 3Pia kuna mizeituni miwili karibu yake, mmoja upande wa kuume wa bakuli na mwingine upande wa kushoto.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.