Native Bible

Zechariah 3:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha akanionyesha Yoshua,* kuhani mkuu, akiwa amesimama mbele ya malaika wa Bwana, naye Shetani amesimama upande wake wa kuume ili amshtaki.

Zechariah 3:1 in English

Zechariah 3:1 · Berean Standard Bible

Then the angel showed me Joshua the high priest standing before the angel * of the LORD, with Satan * standing at his right hand to accuse him.

Context

1Kisha akanionyesha Yoshua,* kuhani mkuu, akiwa amesimama mbele ya malaika wa Bwana, naye Shetani amesimama upande wake wa kuume ili amshtaki. 2Bwana akamwambia Shetani, “Bwana akukemee Shetani! Bwana, ambaye ameichagua Yerusalemu, akukemee! Je, mtu huyu siyo kijinga kinachowaka kilichonyakuliwa kwenye moto?” 3Wakati huu, Yoshua alikuwa amevaa nguo chafu alipokuwa amesimama mbele ya malaika.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.