Zekaria 1:20
Zechariah 1:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kisha Bwana akanionyesha mafundi wanne.
Zechariah 1:20 in English
Zechariah 1:20 · Berean Standard Bible
Then the LORD showed me four craftsmen.
Context
18Kisha nikatazama juu, na pale mbele yangu nikaona pembe nne! 19Nikamuuliza yule malaika aliyekuwa akizungumza nami, “Ni nini hivi?”
Akanijibu, “Hizi ni zile pembe zilizowatawanya Yuda, Israeli na Yerusalemu.” 20Kisha Bwana akanionyesha mafundi wanne. 21Nikauliza, “Hawa wanakuja kufanya nini?”
Akanijibu, “Hizi ndizo pembe zilizowatawanya Yuda ili asiwepo atakayeweza kuinua kichwa chake, lakini mafundi wamekuja kuzitia hofu na kuzitupa chini hizi pembe za mataifa ambayo yaliinua pembe zao dhidi ya nchi ya Yuda na kuwatawanya watu wake.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.