Native Bible

Zechariah 1:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha nikatazama juu, na pale mbele yangu nikaona pembe nne!

Zechariah 1:18 in English

Zechariah 1:18 · Berean Standard Bible

Then I looked up and saw four horns.

Context

16“Kwa hiyo, hivi ndivyo asemavyo Bwana: ‘Nitairudia Yerusalemu kwa rehema na huko nyumba yangu itajengwa tena. Nayo kamba ya kupimia itanyooshwa Yerusalemu,’ asema Bwana Mwenye Nguvu Zote. 17“Endelea kutangaza zaidi kwamba: Hivi ndivyo asemavyo Bwana Mwenye Nguvu Zote: ‘Miji yangu itafurika tena ustawi na Bwana atamfariji tena Sayuni na kumchagua Yerusalemu.’ ” 18Kisha nikatazama juu, na pale mbele yangu nikaona pembe nne! 19Nikamuuliza yule malaika aliyekuwa akizungumza nami, “Ni nini hivi?” Akanijibu, “Hizi ni zile pembe zilizowatawanya Yuda, Israeli na Yerusalemu.” 20Kisha Bwana akanionyesha mafundi wanne.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.