Native Bible

Song of Songs 8:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mkono wake wa kushoto uko chini ya kichwa changu, na mkono wake wa kuume unanikumbatia.

Song of Songs 8:3 in English

Song of Songs 8:3 · Berean Standard Bible

His left hand is under my head, and his right arm embraces me.

Context

1Laiti ungelikuwa kwangu kama ndugu wa kiume, ambaye aliyanyonya matiti ya mama yangu! Kisha, kama ningekukuta huko nje, ningelikubusu, wala hakuna mtu yeyote angelinidharau. 2Ningelikuongoza na kukuleta katika nyumba ya mama yangu, yeye ambaye amenifundisha. Ningelikupa divai iliyokolezwa unywe, asali ya maua ya mikomamanga yangu. 3Mkono wake wa kushoto uko chini ya kichwa changu, na mkono wake wa kuume unanikumbatia. 4Binti za Yerusalemu, ninawaagiza: msichochee wala kuamsha mapenzi hata yatakapotaka yenyewe. 5Ni nani huyu anayekuja kutoka nyikani akimwegemea mpenzi wake?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.