Native Bible

Song of Songs 7:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

na kinywa chako kama divai bora kuliko zote.

Song of Songs 7:9 in English

Song of Songs 7:9 · Berean Standard Bible

and your mouth * like the finest wine.

Context

7Umbo lako ni kama la mtende, nayo matiti yako kama vishada vya matunda. 8Nilisema, “Nitakwea mtende, nami nitayashika matunda yake.” Matiti yako na yawe kama vishada vya mzabibu, harufu nzuri ya pumzi yako kama matofaa, 9na kinywa chako kama divai bora kuliko zote. 10(9) Divai na iende moja kwa moja hadi kwa mpenzi wangu, ikitiririka polepole juu ya midomo na meno. (10) Mimi ni mali ya mpenzi wangu, nayo shauku yake ni juu yangu. 11Njoo, mpenzi wangu, twende mashambani, twende tukalale huko vijijini.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.