Native Bible

Song of Songs 7:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Njoo, mpenzi wangu, twende mashambani, twende tukalale huko vijijini.

Song of Songs 7:11 in English

Song of Songs 7:11 · Berean Standard Bible

Come, my beloved, let us go to the countryside; let us spend the night among the wildflowers.*

Context

9na kinywa chako kama divai bora kuliko zote. 10(9) Divai na iende moja kwa moja hadi kwa mpenzi wangu, ikitiririka polepole juu ya midomo na meno. (10) Mimi ni mali ya mpenzi wangu, nayo shauku yake ni juu yangu. 11Njoo, mpenzi wangu, twende mashambani, twende tukalale huko vijijini. 12Hebu na twende mapema katika mashamba ya mizabibu tuone kama mizabibu imechipua, kama maua yake yamefunguka, na kama mikomamanga imetoa maua: huko nitakupa penzi langu. 13Mitunguja hutoa harufu zake nzuri, kwenye milango yetu kuna matunda mazuri, mapya na ya zamani, ambayo nimekuhifadhia wewe, mpenzi wangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.