Wimbo 2:6
Song of Songs 2:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mkono wake wa kushoto uko chini ya kichwa changu, na mkono wake wa kuume unanikumbatia.
Song of Songs 2:6 in English
Song of Songs 2:6 · Berean Standard Bible
His left hand is under my head, and his right arm embraces me.
Context
4Amenichukua mpaka kwenye ukumbi wa karamu,
na bendera ya huyu mwanaume
juu yangu ni upendo. 5Nitie nguvu kwa zabibu kavu,
niburudishe kwa matofaa,
kwa maana ninazimia kwa mapenzi. 6Mkono wake wa kushoto uko chini ya kichwa changu,
na mkono wake wa kuume unanikumbatia. 7Binti za Yerusalemu, ninawaagiza
kwa paa na kwa ayala wa shambani:
Msichochee wala kuamsha mapenzi
hata yatakapotaka yenyewe. 8Sikiliza! Mpenzi wangu!
Tazama! Huyu hapa anakuja,
akirukaruka juu milimani
akizunguka juu ya vilima.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.