Native Bible

Song of Songs 2:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mimi ni ua la Sharoni, yungiyungi ya bondeni.

Song of Songs 2:1 in English

Song of Songs 2:1 · Berean Standard Bible

I am a rose of Sharon,* a lily of the valley.

Context

1Mimi ni ua la Sharoni, yungiyungi ya bondeni. 2Kama yungiyungi katikati ya miiba ndivyo alivyo mpenzi wangu katikati ya wanawali. 3Kama mti wa mtofaa miongoni mwa miti ya msituni ndivyo alivyo mpenzi wangu miongoni mwa wanaume vijana. Ninafurahia kuketi kivulini mwa mwanaume huyu, na tunda lake ni tamu kwangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.