Wimbo 2:2
Song of Songs 2:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kama yungiyungi katikati ya miiba ndivyo alivyo mpenzi wangu katikati ya wanawali.
Song of Songs 2:2 in English
Song of Songs 2:2 · Berean Standard Bible
Like a lily among the thorns is my darling among the maidens.
Context
1Mimi ni ua la Sharoni,
yungiyungi ya bondeni. 2Kama yungiyungi katikati ya miiba
ndivyo alivyo mpenzi wangu katikati ya wanawali. 3Kama mti wa mtofaa miongoni mwa miti ya msituni
ndivyo alivyo mpenzi wangu
miongoni mwa wanaume vijana.
Ninafurahia kuketi kivulini mwa mwanaume huyu,
na tunda lake ni tamu kwangu. 4Amenichukua mpaka kwenye ukumbi wa karamu,
na bendera ya huyu mwanaume
juu yangu ni upendo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.