Wimbo 1:11
Song of Songs 1:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Tutakufanyia vipuli vya dhahabu, vyenye kupambwa kwa fedha.
Song of Songs 1:11 in English
Song of Songs 1:11 · Berean Standard Bible
We will make you ornaments of gold, studded with beads of silver.
Context
9Mpenzi wangu, ninakufananisha na farasi jike
aliyefungwa katika mojawapo ya magari ya vita ya Farao. 10Mashavu yako yanapendeza yakiwa na vipuli,
shingo yako ikiwa na mikufu ya vito. 11Tutakufanyia vipuli vya dhahabu,
vyenye kupambwa kwa fedha. 12Wakati mfalme alipokuwa mezani pake,
manukato yangu yalisambaza harufu yake nzuri. 13Mpenzi wangu kwangu mimi ni kifuko cha manemane
kati ya matiti yangu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.